Blog Detail
Pwani Raha
http://pwaniraha.blogspot.com
Pwani Raha is a blog based in coast East Africa Dar es salaam area, the vision of the blog is cover news of East Africa region on enternainment, politics, sports and business. Tanzania Kenya (Mombasa), Uganga, Rwanda and Burundi.
Recent Posts
Kigoma Nao Pia Wagoma.
Wasafiri wakiwa katika stesheni ya Kigoma wakisubuli usafiri wafanyakazi wamegoma hadi wapewe malipo yao na kampuni iliyochaguliwa na serikali kuendesha shirika hilo.Jamani wafanyakazi wa Reli ya kati wanananyanyasika sana kwa kuchelewaeshewa malipo ...
Wafanyikazi Wa Shirika la Reli Wagoma.
Baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea Kigoma na Mwanza wakiwa wamezonga stesheni ya Manyoni baada ya dereva wa treni kugoma wakati walipofika eneo hilo wakidai kuwa hadi shirika hilo liwalipe mshahara wa mwezi wa November.Huku hakuna magari ...
Dawa ya Hangover.
KICHWA kina gonga kama ngoma, unaona kizunguzungu, mwili hauna nguvu, unasikia kichefuchefu, kama unataka kutapika lakini hutapiki, kwa kifupi unajisikia hovyo kufuatia unywaji wa kupindukia ulioufanya jana! Hali hii inaitwa HANG-OVER au uchovu.Ingaw...
Bongo Dar es salaam Maeneo ya Kawe.
Ayaa mawindo yangu nitawanasa tu ngoja tuzuge zetu.Mme wangu kalala mimi nakula kilaji na kufurahia muziki wa D' Banj, Dar ni raha kwenda mbele.Wasanii wakiwa katika photo ya pamoja na Prof Jay.Joe Makini na Nonino kabla ya kupanda jukwaani....
Mambo ya STR8Music Wasanii Kibao Walikutana.
Mwanamuziki kutoka nchini kenya Paul Nunda aka Jua Kalii akiwa katika pozi na warembo waliohudhuria onyesho hilo.Mwanamuziki C Pwaa akiwa na wenzake katika.TID Top in Dar akiwa katika picha ya pamoja na warembo baada ya kumaliza kufanya shoo katika v...
D\' Banj Afanya Kweli Katika Viwanja vya Tanganyika Packers.
Warembo waliohudhuria katika viwanja vya Tanganyika Parckers Kawe wakiwa na vinywaji wakati wa onyesho la D' Banj.D' Banj na wenzake wakitoa burudani katika viwanja vya Tanganyika Berkers usiku wa kumakia leo.Wanigeria ambao ni maarufu katika ulimwen...

