Blog Detail
THOMCOM
http://assenga.blogspot.com
Many times we need News, downloads, friends, freedom to speak, freedom to give up comments, enterteinment, sport and Love. Students need educational materials and course works which can Help them in their school life. This website is populated with all these categories.
Recent Posts
Anayesema Tanzania hamna ufisaji, yeye ndiye fisadi mkuu?
Hizi zinasemekana ni kauli za waziri Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Sophia SimbaAkizungumza kwa kujiamini na ujasiri, Simba alimtuhumu mama Kilango kuwa kelele zote anazozitoa kuwashambulia baadhi ya wabunge na watendaji wa serikali kwa...
Tanzania na Kashfa ya Kuuza silaha kwa waasi wa Congo
UN yajitenga na kashfa ya silaha ya TanzaniaUMOJA wa Mataifa (UN) umekana taarifa ambayo iliyotolewa hivi karibuni ikieleza kwamba umoja huo umebaini kwamba Tanzania inajihusisha na biashara ya silaha nchini Congo ambako kikundi cha waasi kinapambana...
Yaliyoongelewa hapa ni kweli?
Siri za uteuzi wa mgombea urais CCM zaanikwaButiku asema wafanyabiashara wamembana RaisKilaini asema nchi 'inatembea bila nguo'CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ambacho hivi karibuni kupitia Halmashauri Kuu (NEC) yake kiliunda kamati ya Rais mstaafu, Ali Has...
Eti ni kweli haya? Mii naona ni njama tuu ili nisipate uondo...
USINYWE RED BULL -- NI HATARI KWA MAISHA YAKO – HASA VIJANARED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail Shops) katika nchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wetu wengi wana mazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinawez...
-
'You're Going to Die Sooner,' GOP Senator Says About Democrats' Health Care PlanAPSen. Tom Coburn, R-Okla., an obstetrician-turned-lawmaker, says during a rancorous floor debate that President Obama's health care overhaul will shorten the lives of Am...
Glob hii ya jamii imefuatilia kwa ukaribu Mkutano Kati ya Ubalozi wa Tanzaia Moscow Russia na mkuu wa chuo kikuu cha Urafiki Lumumba..
Kutokana na Notisi ya siku 15 kuwatimua masomo wanafunzi 76 wa Tanzania wanaosoma Chuo Kikuu Cha Urafiki Moacow Russia, Ubalozi wa Tanzania Moscow Russia Ulifanya mkutano na Mkuu wa Chuo hicho siku ya jumanne tarehe 01/12/29 ili kujua hatima ya wana...

